Wote
tumemsikia jana Prince Dully Sykes akiongelea kufungiwa kwa video yake
ya kabinti special na Baraza la Sanaa Tanzania(BASATA) . Kuna sababu kuu
mbili zilizosababisha video hii kufungiwa na ya kwanza ni kitendo cha
msanii Diamond Platnumz kuvaa T-shirt iliyoandikwa neno ambalo ni tusi
. Hii ingekua kwa nchi za mbele basi ungekutwa t-shirt hii wanaifanyia
kitu kinaitwa “blurring” yaani wanayafanya maneno yasisomeke lakini
wabongo wakaona isiwe tabu na director akaamua kuacha video irushwe
ikiwa katika hali hii.
Sababu ya pili ni vazi la ufukwe yule demu alilovaa kitu ambacho dully ameona haikua mbaya.
Je, Unadhani ni haki video hii kufungiwa na kama ni haki je unafikiri ifungiwe ni kwasababu ipi ya
Sababu ya pili ni vazi la ufukwe yule demu alilovaa kitu ambacho dully ameona haikua mbaya.
Je, Unadhani ni haki video hii kufungiwa na kama ni haki je unafikiri ifungiwe ni kwasababu ipi ya
0 Response to " DIAMOND HATA MAREKANI HAWAFANYI HIVI..!! VITU VINGINE UWE UNAANGALIA. NDIYO NINI KUWATUKANA POLISI..!! "
Post a Comment