taswirainc@blogspot.com- 1 hour ago
WALIOSEMA ujana ni maji ya moto hawakukosea. Mkali wao kwenye Bongo Fleva,
Nasibu Abdul ‘Diamond’ ni msanii ambaye ana idadi kubwa ya msururu wa
wanawake ambao ametoka nao kimapenzi ambapo, wapo wanaojulikana na wengine
hawajulikani.
*Nasibu Abdul ‘Diamond’.*
Leo katika makala haya tunakuletea wanawake ambao kwa nyakati tofauti walibanjuka
kimapenzi na Diamond ambao kimsingi kutokana na idadi yake, anadhihirisha
jina lake la Sukari ya Warembo
Takwimu zinaonesha kuwa karibu kila mwaka jamaa anabadilisha wapenzi ambapo
wanawake wamekuwa wakipokezana vijiti.
*UPENDO MUSHI ‘PENDO’*
Hu... mor
0 Response to "CHEKI MAMBO MATAMU,YA MZEIYA PLATINUMZ!!!!!!!!,NI HATARI!!!!"
Post a Comment