Reading list | All blogs
BABY BOY ARUDI NA ‘FUNGA MKANDA’
Taswirainc@blogspot.com- 4 hours ago
Moja kati ya msanii anayefanya muziki wa bongo fleva Edson Wilison a.k.a
Baby boy ambaye alipotea kwenye game ya muziki,sasa amerudi kwa kishindo
kikali.
Baby boy ambaye alipotea kwa kipindi kirefu, zaidi ya miaka miwili kwenye
muziki sasa amerudi na ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Funga Mkanda
aliyofanya chini ya studio iliyopo maeneo ya sinza lego jijini dar es
salaam inaoitwa Flexible music.
Ngoma hiyo ambayo Baby Boy akiwa amemshirikisha Barnaba boy na msanii
anayeitwa Shazy Melody,ambaye yupo lebo chini ya Flexible Entertainment
ikiwa imetengenezwa na mtayarishaji Ba... more »
0 Response to "MAMBOZ ,HAYA NDIO MAMBO YA LEO PATA MAUTAM ZAID!!!!!!!!!!!"
Post a Comment