Home » Uncategories » ROMA,KALA JEREMIAH,NEY WA MITEGO WOT KWISHAA HABARI YAO WACHANWA LIVE!!!!!!!!!!!!!!
ROMA,KALA JEREMIAH,NEY WA MITEGO WOT KWISHAA HABARI YAO WACHANWA LIVE!!!!!!!!!!!!!!
TASWIRA- 12 hours ago
Hii ni video ya msanii Oka akiwa amemshirikisha Josp katika wimbo unaoitwa
DIS DOT COM. Katika wimbo huu wasanii kama Kala, Roma, Fid Q na wengine
wengi wameimbwa humu ndani na kupewa Dis Live bila uwoga.
Audio ya wimbo huu umefanya na Kings Records kutoka jijini Mwanza na video
imefanywa na ZE MAKE VIDEOS nayo ni kutoka Mwanza.
Chukua dakika zako kadhaa kutazama video hii
0 Response to "ROMA,KALA JEREMIAH,NEY WA MITEGO WOT KWISHAA HABARI YAO WACHANWA LIVE!!!!!!!!!!!!!!"
0 Response to "ROMA,KALA JEREMIAH,NEY WA MITEGO WOT KWISHAA HABARI YAO WACHANWA LIVE!!!!!!!!!!!!!!"
Post a Comment