Home » Uncategories » AMA KWELI HUU MWAKA WAKE::COLLABO NYINGINE YA DIAMOND NA MWANAMUZIKI WA NIGERIA HII HAPA,TASWIRAINC@BLOGSPOT.COM
AMA KWELI HUU MWAKA WAKE::COLLABO NYINGINE YA DIAMOND NA MWANAMUZIKI WA NIGERIA HII HAPA,TASWIRAINC@BLOGSPOT.COM
taswirainc@blogspot.com
Safari ya Diamond nchini Nigeria inaendelea kuzaa matunda kama
alivyokusudia. Baada ya kushirikishwa na Waje, jana mkali huyo wa bongo
flava aliingia booth na msanii mwingine mkubwa wa Nigeria, Dr Sid.
Jana usiku Dr SID amepost kwenye Instagram picha akiwa studio na Diamond na
kuandika, “Studio Session with @diamondplatnumz #AfricanPrince
#NaijaTanzania”
Dr Sid anafanya kazi chini ya Mavin Records ya Don Jazzy na alishawahi
kushinda tuzo kubwa duniani ikiwemo ‘Hiphop World Awards’ ambapo mwaka 2011
alichukua tuzo mbili za Hiphop World Revelation of the year na Best Pop
Single.
0 Response to "AMA KWELI HUU MWAKA WAKE::COLLABO NYINGINE YA DIAMOND NA MWANAMUZIKI WA NIGERIA HII HAPA,TASWIRAINC@BLOGSPOT.COM"
0 Response to "AMA KWELI HUU MWAKA WAKE::COLLABO NYINGINE YA DIAMOND NA MWANAMUZIKI WA NIGERIA HII HAPA,TASWIRAINC@BLOGSPOT.COM"
Post a Comment