Home » Uncategories » BREAKING NEWS : MWANAMUZIKI MKONGWE MZEE GURUMO AFARIKI DUNIA. taswirainc@blogspot.com
BREAKING NEWS : MWANAMUZIKI MKONGWE MZEE GURUMO AFARIKI DUNIA. taswirainc@blogspot.com
Ni
mzee wa siku nyingi sana kwenye muziki Tanzania ambae aliwahi kuingia
kwenye vichwa vya habari mara nyingi hasa kutokana na kuugua kwake
kuliko mfanya aache hata muziki aliokua anaufanya. Taarifa zilizothibitishwa na hospitali ya Taifa Muhimbili
zimesema Mzee huyu amefariki dunia akiwa hospitalini hapo leo April 13
2014 saa nane mchana baada ya kuletwa jana asubuhi na kulazwa kwenye
wodi namba 6 ya Mwaisela kutokana na kuzidiwa. Tayari mwili wake umepelekwa kwenye chumba cha kuhifadhia maiti
ambapo taarifa zaidi kuhusu chanzo cha kifo na taratibu za mazishI endelea kutembelea website yetu
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
0 Response to "BREAKING NEWS : MWANAMUZIKI MKONGWE MZEE GURUMO AFARIKI DUNIA. taswirainc@blogspot.com"
0 Response to "BREAKING NEWS : MWANAMUZIKI MKONGWE MZEE GURUMO AFARIKI DUNIA. taswirainc@blogspot.com"
Post a Comment