(Coming Soon) Young Kacha Ft. Walter Chilambo - I Believe One Day


  taswirainc@blogspot.com- 46 minutes ago
Baada ya kutoa remix ya dear gambe na kupiga kiki ndefu na kubwa..pia akaja kutoa wimbo mkali na mkubwa TRAVELLER akimshirikisha kaka yake wa damu DARASA..pia tena akuishia apo akaja kutoa wimbo mwingine wa taifa uliomfanya ajulikane zaidi na zaidi BORA BABA ANGEKUWA MBUNGE, ambao wimbo huo pia ulimuwezesha kumpa wadhamini wa muziki wake pamoja na wadhamini ambao walisimamia mavazi yanayoenda kwa jina la wimbo huo sasa bwana mdogo huyo ambae anawaumiza sana vichwa ma Young Rappers wenzie kama Young Killer na Young Dee, ameamua kuja na kibao kingine cha t... more »

0 Response to "(Coming Soon) Young Kacha Ft. Walter Chilambo - I Believe One Day"