taswirainc@blogspot.com- 2 hours ago
Msanii Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ ameula katika michuano ya Kombe la
Dunia 2014 baada ya kupata nafasi ya kuandaa wimbo kwa ajili ya michuano
hiyo mikubwa zaidi ya soka duniani.
Jaydee anayefahamika pia kama Komandoo au Anaconda, amepata fursa ya
kuandaa wimbo maalum wa
michuano hiyo ‘FIFA World Cup Anthem’ akishirikiana na wakali wawili David
Correy wa Brazil na rapa Octopizzo wa Kenya.
Katika wimbo huo, Lady Jaydee na Correy wameimba kwa lugha ya Kiingereza
huku Octopizzo 'akichana' kwa Kiswahili.
Wimbo huo ulipigwa kwa mara ya kwanza jana jijini Dar es Salaam wakati
kampuni ... more »
0 Response to "HILI NDO ZALI JINGINE LILILOMWANGUKIA LADY JAYDEE, NI KUHUSU KOMBE LA DUNIA. SOMA HAPA!!!!!!,upate maujanja zaidi"
Post a Comment