


Nimepita Sehemu fulani, nimeona kuna mzozo eti ni ipi
staili nzuri saa ya kufanya mapenzi, kweli hili suala lina mitazamo mingi. Mimi
nasema hivii, staili nzuri ya kufanya Mapenzi inategemea na Mwenza wako,
mathalani mwenzio ni mnene au ana umbile kubwa huwezi ukamwambia ulale chini
halafu akulalie juu, nadhani utakuwa unataka kuvunjwa kiuno kama sio kuteguka
kabisa. Kiukweli ziwezi weka picha fulani hapa directly kwa ajili ya kulinda
maadili, hivyo basi staili kulingana na umbile lako na la mwenza
wako hutegemea na umri wenu pia, na ndio maana vijana hadi umri wa miaka 38 hivi
ni wafanyaji wazuri wa mapenzi ukilinganishwa na watu wazima au wazee kabisa.
0 Response to " Hizi hapa Staili mbalimbali za Mapenzi USISAHAU KU LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA CHINIhttp://taswirainc.blogspot.com/"
Post a Comment