Ommy Dimpoz a.k.a Poz kwa poz ameamua
kuwaonjesha kionjo cha wimbo wake mpya unaokuja ambao video yake
imefanywa nchini Marekani Na producer mkali nchini humo. Kupiti Account
yake ya Instagram Ommy dimpoz aliweka kionjo cha Video hii na kusema
ndio cha wimbo huo unaosubiriwa na Wapenzi wa Muziki...
0 Response to "LAZIMA UKUBALI TU..!! HUU NDIYO UJIO MPYA WA OMMY DIMPOZ BAADA YA TUPOGO, TAZAMA VIDEO HAPA..!!http://taswirainc.blogspot.com/"
0 Response to "LAZIMA UKUBALI TU..!! HUU NDIYO UJIO MPYA WA OMMY DIMPOZ BAADA YA TUPOGO, TAZAMA VIDEO HAPA..!!http://taswirainc.blogspot.com/"
Post a Comment