Riyama aliingia kwenye mtihani huo juzikati pande za Songea alipokuwa amekwenda kikazi ambapo alitakiwa kunywa pombe hiyo kutokana na matakwa ya filamu lakini akashindwa.

“Ulikuwa mtihani kwa kweli, ili kuleta uhalisia ilitakiwa ninywe pombe hiyo lakini kiukweli nilishindwa kwa kuwa sijawahi kunywa hata siku moja, ilibidi nizuge na kopo tupu,” alisema Riyama ambaye ni mkali wa kuzitendea haki sini za siriasi.http://taswirainc.blogspot.com/
0 Response to "Mitungi yamuacha DILEMA Msanii RIYAMA.,.,.,soma hapa,,.,.http://taswirainc.blogspot.com/"
Post a Comment