28 minutes ago

Msanii wa Hip Hop Tanzania Emanuel "Nay wa Mitego True Boy" anatafutwa kwa
kosa la kutishia kuua.
Kwa mujibu wa Suddy Baya ambae ndie alietishiwa kuuliwa na Nay, anasema
kuwa amekuwa akipokea ujumbe wa vitisho mara kwa mara kutoka kwa Msanii
huyo pia amekuwa akiwatumia watu tofauti tofauti ili wamteke, na
kuthibitisha kwa hilo ameshapokea simu za vitisho kutoka kwa watu tofauti
huku akisema walikuwa na lengo la kumteka.
Hapo mwanzo walikuwa wakiishi pamoja huku akiwa kama msaidizi wa msanii
huyo katika mambo yake ya Muziki na hata huduma za nyumbani kwa maana
walikuwa wanaishi nyum... more »http://taswirainc.blogspot.com/
0 Response to "NAY WA MITEGO ATAFUTWA KWA KESI YA KUTISHIA KUUA,.,.,.,soma hapa';';';http://taswirainc.blogspot.com/"
Post a Comment