Wapendwa naomba msaada maana naona napotea , yaani boy wangu
alisafiri kikazi karibia mwaka mzima sasa huku mimi sababu ya upweke
nikaanza kuchepuka na Boss wangu , kila week end ananipeleka nje ya Mji
kama Bagamoyo ama Kigamboni tunalala huko na kufanya starehe za kila
aina , Baada nikawa natoka na Wengine pia wenye pesa , sasa cha ajabu
nikitoka na mtu ambae hana pesa za kunipeleka mbali ya mjini na kunipa
starehe mbali mbali si enjoy hata tukifanya sifiki kileleni , Sasa
kibaya boy wangu amerudi nashangaa simfeel hata kidogo kama zamani kwani
yeye si mtu wa sterehe….yaani sometimes ili nienjoy inabidi nichepuke
kwa wale mapedeshee wenye kujua starehe ni nini ….Nifanyaje?
0 Response to "NIKILALA NA MWANAUME ASIYE NA PESA SIRIDHIKI NA WALA SIFIKI KILELENI…!!http://taswirainc.blogspot.com/"
Post a Comment