Mtangazaji wa DTV, Peniel Mungilwa ‘Penny’.
Akizungumza na mwandishi wetu mara baada
ya picha hiyo kuzagaa mitandaoni, Penny alisema ameitupia picha hiyo
kuonesha alivyokuwa mazoezini akiwa amechoka na kujilaza hivyo
asielewekevibaya.
Peniel Mungilwa ‘Penny’ akiwa kwenye pozi.
“Nimeanza mazoezi ya nguvu sana na
tayari nimeshapungua karibu kilo 10, nimefanya hivyo kwa nia ya kuuweka
sawa mwili wangu, nisieleweke vibaya,” alisema Penny.http://taswirainc.blogspot.com/
0 Response to "PENNY ANADI KITOVU CHAKE,.soma hapa>>>>>>http://taswirainc.blogspot.com/"
Post a Comment