Picha 6 za H.baba akiwa kwenye kaburi la Cool James ‘Mtoto wa Dandu’,.,CHEKI HAPA,.,http://taswirainc.blogspot.com/


Image00002H.baba kut,,oka 88.1(Clouds Fm Mwanza)wikiendi iliyopita amefanya ziara ya kutembelea familia ya James Dandu ambayo iko Mwanza ambapo pia alifika mpaka lilipo kaburi lake Ngudu,Kwimba hapo H.baba alipalilia pamoja na kutoa heshima zake kwenye kaburi la Muasisi huyu wa tuzo za Tanzania.
Mbali na kuwa muasisi tu Cool James ambaye alifariki Agost 2002 alikua ni miongoni mwa wasanii wa kwanza kuutangaza muziki wa Bongo Fleva nje ya nchi,Hizi ni picha baadhi ambazo zinamuonyesha H.baba akiwa na familia pamoja kaburi alilozikwa James Dandu.
Image00006
Image00005
Image00003
Image00004
Image00001

Use Facebook to Comment on this Posthttp://taswirainc.blogspot.com/

0 Response to "Picha 6 za H.baba akiwa kwenye kaburi la Cool James ‘Mtoto wa Dandu’,.,CHEKI HAPA,.,http://taswirainc.blogspot.com/"