PRODUCER C9 APATA AJALI NA KUUMIA KICHWANI…CHEKI PICHA JINSI ALIVYOUMIA NA BAJAJ ILIVYOHARIBIKA.http://taswirainc.blogspot.com/

c92 Producer anayewani tuzo ya mtayarishaji bora wa muziki wa bendi kwenye KTMA 2014 amepata ajali mbaya na kuumia kichwani huku bajaj aliyokuwa amepanda kuharibika sana.
C9 amewai kutengeneza ngoma nyingi kama Mama Ntilie, nyimbo nyingi za marehemu Sharo millionea na nyingine. Hivi sasa anaendelea vizuri hadi anajibu pole anazopewa na mashabiki zake kwenye mtandao wa instagram. c9
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKOhttp://taswirainc.blogspot.com/

0 Response to " PRODUCER C9 APATA AJALI NA KUUMIA KICHWANI…CHEKI PICHA JINSI ALIVYOUMIA NA BAJAJ ILIVYOHARIBIKA.http://taswirainc.blogspot.com/"