RAHA YA KUTONGOZWA... duuu!!!! YAANI UTAMU!!!!,PLUS!!!


Hivi dada zangu huwa mnaenjoy mkiwa mnatongozwa?

Ni kweli kuwa usipotongozwa kama wiki tu hivi wajisikia vibaya?

Najua kuna suala la umri hapa kwenye sanaa hii ya utongozwaji,

Lakini napenda tu nipate jibu la jumla,

0 Response to "RAHA YA KUTONGOZWA... duuu!!!! YAANI UTAMU!!!!,PLUS!!!"