
*Jacque Pentzel ana ujauzito*
Habari tulizozipata punde kutoka kwa marafiki wa karibu wa mume wa Star wa
Bongo Movie Jacque Pentzel Bwana Gadner Dibibi kuwa Jacque tayari ana
ujauzito. Ingawa watao habari hao wameshindwa thibitisha kuwa ujauzito huo
una miezi mingapi.
Mume wa Jacque Pentzel Gadner Dibibi alishare picha katika ukurasa wake wa
facebook akiwa pamoja na mkewe na kuwatakia pasaka marafiki zake na
marafiki wengi walimpa pongezi kwa kumwambia "hongera tunaona shemeji
tayari", ingawa ajajibu kitu na juhudi za kumpata Jacque mwenyewe au mumewe
bado zinaendelea.http://taswirainc.blogspot.com/
0 Response to " Star wa Bongo Movie apata ujauzito,.,.,.,soma hapa.,.,.http://taswirainc.blogspot.com/ - 35 minutes ago "
Post a Comment