Shuhuda
wa ajali hiyo, Paulina Ruge (57) ambaye ni mmiliki wa nyumba
iliyogongwa na basi hilo, alisema ilitokea kati ya saa 4:30 na 5:00
asubuhi.PICHA|MAKTABA
Busega.
Watu 10 wamekufa papo hapo na mwingine kupoteza maisha alipokuwa
akipelekwa hospitali baada ya basi walilokuwa wakisafiria kupata ajali
mkoani Simiyu. Ajali hiyo ilitokea eneo la Itwilima A, Kata ya Kilorei,
Wilaya ya Busega baada ya basi hilo la Luheye lifanyalo safari zake kati
ya Bunda na Mwanza kupata hitilafu na kugonga mti na baadaye nyumba.
Akizungumza katika Hospitali ya Wilaya ya Magu jana, |
0 Response to "Watu 11 wafa ajalini://taswirainc.blogspot.com/Tuesday, April 22, 2014http://taswirainc.blogspot.com/"
Post a Comment