Rapper wa kundi la Wakacha, Cyril Kamikaze anatarajia kuachia single yake mpya iitwayo ‘Alowa’. Katika kunogesha ujio wake mpya, rapper huyo mwenye asili ya Singida ametease picha ya kava ya single hiyo yenye utata.
Ni shidaa Katika picha hiyo, Cyril anaonekana akiwa amelala katika ya miguu ya msichana mwenye assets kubwa kama za Masogange.
CREDIT : SWAHILITZ
0 Response to " CYRILL KAMIKAZE AAMUA KUACHIA KAVA LA WIMBO WAKE AMBALO HUWEZI KUANGALIA KAMA SI MTU MZIMA MAANA NI TATA..!!http://taswirainc.blogspot.com/ saa 1:39 PM "
Post a Comment