HAMISA MOBETO, INASEMEKANA MODEL LILIAN DEUCE KAMAZIMA NDIO MRITHI WA KAZI ZA U MODEL ZA HAMISA MOBETOhttp://taswirainc.blogspot.com/


Gal on fire lilian deuce kamazima aka chanecelledeuce, to me she is like hamisa mobeto, they have too many things in common, first of all angalia swags za upcoming model huyo zinafanana kabisa na kama zile za mobeto, kadomo, figure everthing omg, kwa sasa model huyo anapatikana jijini Arusha, yupo masomoni katika chuo cha uhasibu Arusha, taking Finance n banking. Lilian Deus Kamazima, taking Finance n banking, ChanelleDeuces,take a look kwenye picha hii n say something.
Na hizi ni miongoni mwa kazi zake ambazo amezifanya jijini Arusha.
I hope umemuona upcoming model huyo i think the time have come to make changes in our country, mim naamini tukiwatumia watu kama hawa na tukawapa fursa na wao wakaingia kwenye game basi huenda wakaweza kuipeperusha vzuri bendera ya Tanzania kwenye matamasha ya modelling huko katika nchi za nje, for anything usisite contact us through email bintjumaa1@gmail.com
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKOhttp://taswirainc.blogspot.com/

0 Response to "HAMISA MOBETO, INASEMEKANA MODEL LILIAN DEUCE KAMAZIMA NDIO MRITHI WA KAZI ZA U MODEL ZA HAMISA MOBETOhttp://taswirainc.blogspot.com/ "