DIAMOND PLATNUMZ AENDELEA
Pamoja na kwamba tuzo za Kora hazina tena ‘kiki’ kama zamani, Diamond
Platnumz ameendelea kuwagalaza wasanii wa Afrika kwakuwa jina lake ndilo
limekuwa likitajwa zaidi na mashabiki kwenye akaunti ya Facebook ya
tuzo hizo...Click <HAPA>Kuona Page hiyohttp://taswirainc.blogspot.com/
Katika wiki ya ya 17 tangu watu waanze kutaja majina ya wasanii wa
Afrika, Diamond ameendelea kuongoza na kuwaacha mbali wasanii wakubwa
wakiwemo Koffie Olomide, Sarkodie, Fally Ipupa, Werason na wengine
0 Response to "KUWAGALAGAZA WASANII WA AFRIKA KWENYE NOMINATIONS ZA KORAhttp://taswirainc.blogspot.com/ "
Post a Comment