LULU MICHAEL AFUNGUKA JUU YA MABOSI WANAOPENDA KUPATA URODA KWA WASANII WA KIKE KABLA AU BAADA YA KAZI..!!http://taswirainc.blogspot.com/

STAA wa filamu ya Foolish Age, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amewatetea mabosi wa wasanii akidai si wote wana tabia ya ‘kuduu’ na wafanyakazi wao.Akijibu swali aliloulizwa na paparazi wetu kuhusiana na mabosi wakware, Lulu alitiririka:
“Imezoeleka kuwa mabosi wote hawawezi kufanya kazi na msanii bila kuomba penzi, si wote, wapo wasioomba,” alisema Lulu ambaye aliwahi kutajwa kuwa anatembea na mmoja wa mabosi wake wa sasa.

SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKOhttp://taswirainc.blogspot.com/

0 Response to "LULU MICHAEL AFUNGUKA JUU YA MABOSI WANAOPENDA KUPATA URODA KWA WASANII WA KIKE KABLA AU BAADA YA KAZI..!!http://taswirainc.blogspot.com/"