PRODUCER WA WIMBO WA DIAMOND NUMBER 1 ALIA NA WAANDAJI WA KTMA KWA KUMNYIMA TUZOhttp://taswirainc.blogspot.com/



Producer Sheddy Clever ambae ni Mwandaaji wa Wimbo wa Diamond Number 1 uliochukua Tuzo Nyingi katika Tuzo za Kilimanjaro Awards zilizofanyika Juzi, Ameonyeshwa kukerwa Kwa Kukosa Tuzo ya Producer Bora Wakati Wimbo huo Umechukua Tuzo Nyingi ikiwemo ya Wimbo Bora , Amekaririwa akisema "Sasa ndugu zangu inakuwaje nisipewe tuzo ya Muandaaji bora wa Music wakati Number one imekuwa mwimbo bora wa Mwaka..na imemfanya Diamond Apate Tuzo Tano?

0 Response to "PRODUCER WA WIMBO WA DIAMOND NUMBER 1 ALIA NA WAANDAJI WA KTMA KWA KUMNYIMA TUZOhttp://taswirainc.blogspot.com/"