Wengi imewashangaza kuona kuwa wawili hawa wanapata muda wa kukaa
pamoja na kufanya vitu romantic kama kwenda Vacation, kuutokana na
picha hizi zilizokuwa released hivi karibuni na magazeti ya udaku
nchini Marekani...Picha hizi zimewaonyesha wawili hao walikuwa
wakifanya hivyo (Picha hizi zilipigwa mwaka 2012).
Tofauti na Jay Z na Beyonce
ambao mara kwa mara wamekuwa wakienda vacation ..kwa upande wa Kanye
and Kim mara nyingi wamekuwa mitaani na mapaparazi huwapicha picha...
Wengi wanaamini kuwa Kanye anaonekana kuwa sio mtu wakupenda vitu kama
Vacations..Anaonekana yuko VERY SERIOUS.....Jionee picha hizo!!
0 Response to "Reveased Photos za Kanye West na Kim wakiwa Vacation zimewashangaza wengi!!http://taswirainc.blogspot.com/"
Post a Comment