STAA MWINGINE KWENYE POZI BILA TOP, NI MSANII NA ULIMUONA KWENYE FAST & FURIOUS 6http://taswirainc.blogspot.com/

Star wa muziki kutoka Uingereza Rita Ora ambaye pia ni mwigizaji amepozi bila top ‘topless’ kwenye photo shoot na mpiga picha maarufu Terry Richardson.
Fahamu toka huu mwaka uanze Terry Richardson ameshtakiwa kwa kosa la unyanyasaji wa kijinsia na wanamitindo watatu, ila Terry amekanusha shutuma hizo.Rita ni msanii anayekubalika sana Uingereza na ni ngumu kufanya tour Uingereza bila kumuhusisha.
r 1 r 2 r 3 r 4 r 5 r 6 r 7
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKOhttp://taswirainc.blogspot.com/

0 Response to "STAA MWINGINE KWENYE POZI BILA TOP, NI MSANII NA ULIMUONA KWENYE FAST & FURIOUS 6http://taswirainc.blogspot.com/"