Madame Wema Sepetu jana usiku alipona ghafla baada marafiki zake
kumshawishi waende kula bata...Marafiki hao wakiongozwa na Aunt Ezekiel
walimfanya Wema ambae iliripotiwa hapo juzi kuwa anaumwa kujiunga nao na
kwenda kula bata...Kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM, Wema ameonyesha
kufurahia sana tukio hilo na kusikitika kuwa hakunywa pombe.... Nanukuu
Nilivyokutana na matahira wangu wakanitoa.... Dah mgonjwa mimi hata pombe sinywi sasa... Asante sanaKwa upade wake Aunt Ezekiel aliandika.....
My kababy and I... Funny faces... Mgonjwa wangu huyu... Ghafla alipona bila kupenda... love you Wema akee mimi apa saaaana saaana saaaanaWote wawili walipost picha hizi wakila bata...
0 Response to "Wema Sepetu apona ghafla kisa bata!!, Aunt Ezekiel ahusikahttp://taswirainc.blogspot.com/"
Post a Comment