DUH, UMEMWONA MKE MTARAJIWA WA HEMED PHD???? CHEKI PICHA ZAKE HAPA NI NOMA!http://taswirainc.blogspot.com/

 muna akiwa kwenye pozi tata
Msanii wa filamu nchini Hemedy aka PHD mwenye mikogo kuzidi mabilioni ya Dr dre amesema baada ya kuchafua sana sasa anataka kutulia na kuoa kabisa.Hemedy alisema hayo alipokuwa akiongea na paparazi, Phd alisema kuwa "Nimechafua sana more than sana nikaona hii bora iishe maana mama yangu anataka vitu ving kutoka kwangu so nimepata msichana ninaye mpenda na yeye ananipenda so natarajia kufunga ndoa mwezi november

 huyu ndiyo mchumba wa Hemedy anaitwa  Muna aka Momo

Hemedy akiwa na mchumba wake  Muna

0 Response to "DUH, UMEMWONA MKE MTARAJIWA WA HEMED PHD???? CHEKI PICHA ZAKE HAPA NI NOMA!http://taswirainc.blogspot.com/"