PICHA TANO ZA RIHANNA AKIWA MTAANI NA NGUO YA KULALIA ‘NIGHT DRESS’ ZIKO HAPAhttp://taswirainc.blogspot.com/


 
Rihanna haendeshwi na matukio na wala hatabiriki katika mitindo ya mavazi anayochagua. Uamuzi wake mara nyingi huzua maswali na changamoto kwa wengi.
Mwimbaji huyo wa kike ameonekana mtaani akiwa anapiga misele na vazi la kulalia aka Night Dress na anaonekana akiwa anajiamini kama mtu aliyevaa suti au nguo nyingine inayompasa kuzurura nayo katikati ya jiji.

HTARIII!!! MTOTO WA MCHUNGAJI APIGA PICHA ZA UTUPU!! JIONEE >HAPA

PATASHIKA NGUO KUCHANIKA! MWANAMKE AVULIWA NGUO BAADA YA KUFUMANIWA NA MUME WA MTU.. (BOFYA HAPA) JIONEE VIHOJA HIVI

0 Response to "PICHA TANO ZA RIHANNA AKIWA MTAANI NA NGUO YA KULALIA ‘NIGHT DRESS’ ZIKO HAPAhttp://taswirainc.blogspot.com/"