Mimi ni dada niliyeolewa na nimebahatika kupata mtoto mmoja katika ndoa
yangu na ana miaka 3, ila toka nimjue mume wangu, uwa anawashwa sehemu
zake za siri, na tukiwa tumelala usiku utamsikia anajikuna tena kwa
nguvu, ni kijaribu kuongea nae twende kwa dokta wa ngozi hataki, anasema
nikawaida tu, ila mi ananiboa kitu kimoja anatoka kujikuna harafu
anamshika mtoto bila kunawa.
Naombeni ushauri, au kama kuna dawa ya kupaka naweza nikanunua nikajaribu kumpaka, nampenda mume wangu ndo maana najaribu kutafuta njia mbadala
Naombeni ushauri, au kama kuna dawa ya kupaka naweza nikanunua nikajaribu kumpaka, nampenda mume wangu ndo maana najaribu kutafuta njia mbadala
0 Response to "Mume wangu anawashwa sehemu zake za siri"
Post a Comment