Siwema Mchumba wa Nay wa Mitego Atupia Picha ya Faragha Akiwa na Mpenzi Kitandani
Mchumba wa siku nyingi wa staa wa Bongo
Fleva, Emanuel Elibariki 'Nay wa Mitego' , Siwema Edson'Mama Curtis'
amepost picha za mahaba akiwa kitandani na mzazi mwenzie huyo kupitia
Account yake ya Instagram, Siwezi ambae siku za nyuma alikuwa Gumzo
mitandaoni baada ya Video yake akivishwa pete na Pedeshee kuvuja , Nay
na Siwezi Hivi Karibuni Wamejipatia Mtoto wa kiume ..