Written by TASWIRA|
April 10, 2014
|
Jana April 08 kupitia You heard Soud Brown ali-amplify taarifa za
Dudubaya kumkata sikio mama yake mkubwa huku sababu ikielezwa kuwa
anamhisi mama yake huyo anamroga kimuziki,leo Dudubaya kapatikana na
ameongelea juu ya jambo hili lilivyotokea.
TASWIRAINC@BLOGSPOT.COM
0 Response to " Alichokisema DUDU BAYA baada ya kusambaa kwa tetesi za kumfyeka Sikio mama Yake..!!"
Post a Comment