.
Raia
mmoja wa nchini Finland amejikuta katika wakati mgumu sana baada ya
kushindwa kufanya lolote kazini alipoajiriwa baada ya kutaka kuwa katika
mahusiano na mwanadada huyu wa chuo kikuu cha Dar es salaam
ambaye alimteka akili kiasi cha kumfanya Mzungu huyo kuwa anashinda
chuoni kutwa nzima kubembeleza akubaliwe jambo lililomsababishia aache
kuhudhuria kazini kwa muda wa miezi mine mfululizo kutokana na
kupagawishwa na uzuri wa mwanadada huyu ambao umemfanya awe gumzo chuo
kizima.
Mzungu huyo ambaye
ni muajiriwa wa kampuni moja ya simu za mkononi (Jina limehifadhiwa)
hapa jijini alikuja Tanzania mwaka jana kwa dhumuni la kufanya kazi kwa
mkataba amejitia matatizoni baada ya kumtaka kimapenzi mrembo huyu
ambaye alikutananae kwa mara ya kwanza katika coffe bar moja iliyopo
Mlimani city na kwakushindwa kuzuia hisia zake alijikuta akiomba
mawasiliano ya mrembo huyu jambo ambalo ndio hasa limemsababishia
matatizo kutokana na ukweli kwamba Mzungu huyo amekuwa akimbembeleza sana mrembo huyu bila mafanikio kiasi cha kumfanya aweanashinda Chuoni kwa huyu dada huyu Mlimani main campas.
Utoro sugu wa Mzungu huyo umemuweka katika wakati mgumu kwani amepewa barua mbili za onyo mpaka sasa na amebakiza barua ya mwisho aachishwe kazi jambo ambalo mwenyewe anasema kuwa yuko katika wakati mgumu sana kwani hayuko tayari kumkosa dada huyo licha ya ukweli kwamba nchini kwao ameacha mke na watoto.
BINTI WA CHUO KIKUU DAR AMFANYA KITU MBAYA MZUNGU...HATARI SANA AISEEE....!SOMA ZAIDI HAPA...
Utoro sugu wa Mzungu huyo umemuweka katika wakati mgumu kwani amepewa barua mbili za onyo mpaka sasa na amebakiza barua ya mwisho aachishwe kazi jambo ambalo mwenyewe anasema kuwa yuko katika wakati mgumu sana kwani hayuko tayari kumkosa dada huyo licha ya ukweli kwamba nchini kwao ameacha mke na watoto.
Nilipomfanyia
mahojiano dada huyo alidai hawezi kuwa na mtu ambaye hana m,alengo nae
ya muda mrefu kwani uwepo wake hapa nchini ni wa muda mfupi tu hivyo
yeye hayuko tayari kuwa kama chombo cha starehe kwa kila mpita njia.
Licha ya kumpongeza dada huyo nilitaka nifahamu kama ameshamwambia
ukweli Mzungu huyo ambapo dada alieleza kuwa ukweli ameshamwambia lakini
jamaa huyo amekuwa king’ang’anizi kiasi cha kumnyima mpaka muda wa
kujisomea jambo linalomfanya akate shauri la kwenda kumripoti katika
kituo cha polisi kilichopo chuoni hapo endapo kesho siku ya kesho
atathubutu kumfata tena,
0 Response to "BINTI WA CHUO KIKUU DAR AMFANYA KITU MBAYA MZUNGU...HATARI SANA AISEEE....!SOMA ZAIDI HAPA.. taswirainc@blogspot.com"
Post a Comment