Wednesday, 16 April 2014
Picha Zote na Maktaba
Habari
zilizotufikia Hivi Punde zinasema Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya
wamelazimika Kutumia Mabomu ya Machozi Kuwatawanya Wafanyabiashara
Ndogondogo maarufu Kamam Wamachinga mara baada ya wamachinga hao
Kuanzisha Vurugu kubwa.Mwandishi Akielezea zaidi Ameserma Tukio Hilo
limetokea Mara baada ya Wamachinga waliondolewa kwenye maeneo
yasiyoruhusiwa Kufanya Biashara Walipelekwa Eneo Lingine Maalum kwajili
ya Kufanyia Biashara zao Wapo Baadhi ya wamachinga Walikosa Maeneo ya
Kufanyia Bishara Ndipo Leo..
0 Response to " BREAKING NEWZ POLISI WATUMIA MABOMU YA MACHOZI KUPAMBANA NA WAMACHINGA MBEYA !!!!TASWIRAINC@BLOGSPOT.COM"
Post a Comment