HATARI KWA WATU WOTE WANAOVUTA SIGARA soma hapa!!!!!! TASWIRA!!!!!!!!!

Kwa picha hii unaweza kuona upande wa kushoto mapafu ya mtu ambaye havuti sigara,na kwa upande wa kulia unaweza kuona mapafu ya mtu ambaye anavuta sigara...Nawakumbusha tu ndugu zangu kuwa sigara ni hatari kwa afya ya mwanadamu.

0 Response to " HATARI KWA WATU WOTE WANAOVUTA SIGARA soma hapa!!!!!! TASWIRA!!!!!!!!!"