KATIKA MAPENZI,KWA UJUMLA KUNA WAPENZI WA AINA TATU!!!!!!,WAFAHAMU HAPA CHINI,ILI UWEZE KUFAHAMU NANI ANAKUPENDA KWA DHATII!!!!

Wapenzi wa TASWIRA ,karibuni katika page hii ,ili muweze kupata elimu kidogo kuhusiana na MAPENZI na WAPENZI kwa ujumla,......,kwa leo nataka niwape elimu kidogo kuhusiana na aina za WAPENZI!!!!!!
KUNA AINA TATU(03)ZA WAPENZI,KATIKA MAHUSIANO YA MAPENZI KWA UJUMLA,NAZO NI KAMA IFUATAVYO!!!!!!!
01.ANAYEKUPENDA KWA DHATI KUTOKA MOYONI,
02.ANAYEKUPENDA KWA SABABU ANATAKA KITU KWAKO,NA AKISHAKIPATA KUTOWEKA MARA MOJA!!!!
03.ANAYEKUFANYA KAMA WEWE KAMA WA KUUZIA SURA!!!,MBELE ZA WATU.......

0 Response to "KATIKA MAPENZI,KWA UJUMLA KUNA WAPENZI WA AINA TATU!!!!!!,WAFAHAMU HAPA CHINI,ILI UWEZE KUFAHAMU NANI ANAKUPENDA KWA DHATII!!!!"