LUGHA ZINGINE BWANA!!! HEBU TAZAMA HII HAPA!~~~~ taswirainc@blogspot.com sasa!!!!!

LUGHA ZINGINE BWANA!!! HEBU TAZAMA HII HAPA


 Lugha zilizoandikwa kwenye magari wakati mwingine zinafurahisha na kutoa funzo kubwa kama utafikiri kwa undani zaidi,haya ni maneno yaliyoandikwa kwenye gari moja,ya kitambo sana wilayani Kishapu mkoani Shinyanga ambapo kamera za Malunde1 blog zilifanikiwa kuyanasa....Na wewe chukua time kufikiria ujumbe huuu ...

0 Response to "LUGHA ZINGINE BWANA!!! HEBU TAZAMA HII HAPA!~~~~ taswirainc@blogspot.com sasa!!!!!"