MWANAMKE
mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja akiwa ni mkazi wa Dar
leo asubuhi aligongwa na gari aina ya Toyota Coaster inayofanya shughuli
za daladala kwenye barabara za Morogoro jijini Dar es Salaam.
Ajali hiyo ilitokea eneo la Urafiki jijini Dar es Salaam.
Walioshuhudia tukio walisema majeruhi huyo alikuwa katikati ya barabara
mbili akitaka kuvuka kuelekea eneo la kituo cha polisi cha Urafiki
lakini bahati mbaya aliyumba na kudondokea daladala hiyo iliyokuwa nyuma
yake ambayo ilimburuza kwenye ukingo wa barabara hiyo.Picha mbalimbali
zikionesha Wasamaria wema wanavyomuokoa majeruhi huyo.
PICHA :NA TASWIRA BLOG!!@@2@!1
0 Response to " MWANAMKE AGONGWA NA DALADALA URAFIKI JIJINI DAR ES SALAAM !!!!SOMA HAPA TASWIRAINC@BLOGSPOT.COM!!!!"
Post a Comment