SOMA ALICHOKISEMA WASSIRA BUNGENI KUMHUSU TUNDU LISSU>>>>>>>TASWIRAINC@BLOGSPOT.COM



April 16 2014 saa saba kasoro mchana makamu mwenyekiti wa bunge la katiba hapa Dodoma aliwasha kipaza sauti na kuzungumza kuhusu matangazo mawili yaliyomfikia, moja la wageni na la pili ni la hati ya muungano ambayo hatimae imepelekwa bungeni baada ya kuzungumziwa sana na Wajumbe mbalimbali hasa wanaotaka uwepo wa serikali tatu waliosema hati hiyo haipo.
Makamu Mwenyekiti alisema ‘nimepokea hati ya makubaliano ya muungano na ni certified copy na sasa nampa dakika mbili Mh. Wassira atoe maelezo ya hati hii’
No comments:

0 Response to "SOMA ALICHOKISEMA WASSIRA BUNGENI KUMHUSU TUNDU LISSU>>>>>>>TASWIRAINC@BLOGSPOT.COM"