Majeruhi walikimbizwa hospitali za Mt Meru na Dr Mohamed kwa matibabu yaharaka, na hakuna taarifa rasmi ya mtu aliyepoteza maisha ingawa baadhi ya walionusurika wanashuhudia kuwepo watu waliokatika miguu.
Taarifa ya awali kutoka Jeshi la Polisi inaeleza kuwa bomu hilo ni la kutengenezwa kienyeji baada ya kukuta vipande vya vyuma na misumari eneo la mlipuko. Aidha taarifa zaidi zinaeleza kuwa bomu hilo lilirushwa na mtu anayeendelea kusakwa na Jeshi la Polisi likiwa kwenye mfuko wa plastiki kuelekea katikati ya mashabiki hao.
Hii ni Video ya Tukio Hilo:
0 Response to "VIDEO YA TUKIO LA MLIPUKO WA BOMU JIJINI ARUSHA.,,,,,,taswirainc@blogspot.com"
Post a Comment