Picha Hii Kuanzania Jana inasambaa kwa Kasi sana Mtandaoni Ikiwa na
maelezo kuwa ni Msichana Aliyenyeshwa Pombe na kufanyiwa kitu mbaya na
Panya Road...Najiuliza Hao Panya Road Kumbe walikuwa wana nafasi ya
kunywesha watu pombe na kuwafanyia kitu mbaya?
0 Response to "Binti Aliyenyweshwa Pombe na Kufanyiwa Kitu Mbaya na Panya Road "
Post a Comment