HUDDAH AMPA MAKAVU LIVE ALIYEDAI KUWA MPENZI WAKE, ALIYEMTANGAZIA DIAMOND DAU LA $40,000 ILI AMUACHE ZARI
Baada
ya mwanaume aliyedai kuwa ni mpenzi wa Huddah kujitokeza na kuupinga
uhusiano wa Diamond na Zari The Boss Lady wa Uganda, Socialite wa Kenya
Huddah Monroe naye ameibuka na kukana kuwa hajawahi kuwa na uhusiano na
njemba huyo.
Huddah
alipost ujumbe mrefu Instagram ambao baadae aliufuta, wa kuelezea jinsi
alivyokutana na jamaa huyo aitwaye King Lawrence, na kudai kuwa si yeye
aliyemnunulia Range Rover na walionana siku moja tu Afrika Kusini
alipomuomba kupiga nae picha ambazo ndio anazozitumia kudanganya watu
kuwa Huddah ni mpenzi wake. jamaa alipost picha na kuandika "1st
Day - Can you be frank before God and declare how much I paid you for
the Nite @huddahthebosschick. I called up and we negotiated the price.
You came and we did our transaction. Im on my way to the hotel to try
and get footage of us going into the room at nite and the time we left
in the morning. By the way Huddah, what job to u do exactly? Men like me
call you up, buy you a fast class ticket, book you into a good hotel
and pay you. Thats what i did Bitch. Can u refund me? Bitches take cash
so I don't have transfer proof bse i paid u cash. @huddahthebosschick
& @zarithebosslady arent boss ladies. They post pics to attract men
then fly business class to deliver their good. They both have no real
jobs."