Akistorisha na Amani, Koleta alisema kwa sasa yupo tayari kuzaa hata bila ndoa kwani ni muda mrefu amekuwa akitamani kuitwa mama na amesubiri ndoa bila mafanikio.
“Umri unakwenda nami nahitaji kuitwa mama hivyo nikipata ujauzito nazaa kwani cha muhimu zaidi ni mtoto halafu kama Mungu amenipangia kuwa na ndoa itakuja baadaye,” alisema Koleta.
0 Response to "Koleta:Nipo Tayari Kuzaa Bila Ndoa , Mtoto Mambo yote Ndoa majaliwa "
Post a Comment