Habari zenyu banaaa wakati niko a levo niliwahi fall in love deeply like
never b4 . Kijana mwenyewe alikuwa handsome usipime ,ila msela baada ya
kugundua nampenda alinitesa xana,nilikuwa naumwa mapenzi ati. Well
tukatengana wakati huo tuko chuo,akatangulia kumaliza akapotea,nami
nikafinito nikaingia kitaa. After mwaka tukameet nikiwa na job yangu
naye mambo yake safiii,nikamwuliza aje aje?nafac bado ipo kwani mi niko
singo kimtindo akasema no chance and he is about to get married. Niliget
hurt 4sure. Bac ukawa mwisho wa mawasiliano kati yetu since then.Sasa
majuzi nimekutana naye kikazi,after kikao akaomba tukachill sehemu.
Tukala na kunywa vya kutosha then kanipa mkanda oooh i didnt marry the
lady kumbe binti alikuwa na jamaa yake na ndo alimwoa after ujauzito,
akanambia so gal ka vipi lets get married nimegundua u are ma true lover
coz ulinipenda since skul na sikuwa na kitu. Nikabaki kinywa wazi kwani
simfil kivile tena nadhani ulikuwa utoto na hata standing yangu kuhusu
ndoa imechange sana tu. Vijana penda unapopendwa na bahati haicome
twice.
0 Response to "Mapenzi Kizungumkuti"
Post a Comment