Wazee Nina Tatizo la kumwaga haraka nikiwa na mwanamke .saa zingine hata
kabla sijaingiza ,,najikuta zimeshatoka ..na zikitoka siwezi tena
endelea na Tendo ...nini sababu ..na dawa yake ni nini?
0 Response to "Nini Sababu ya Mwanaume Kumwaga Kabla ya Tendo"
0 Response to "Nini Sababu ya Mwanaume Kumwaga Kabla ya Tendo"
Post a Comment