MAN UNITED YAAMKA, YAIPIGA CRYSTAL PALACE 2-0, VAN PERSIE AANZA, ROONEY AMALIZA NA BONGE LA BAO.....
TASWIRA- 10 minutes ago
*[image: clip_image001[9]]**Manchester United imeonyesha uhai tena baada ya
kushinda mechi ya Ligi Kuu kwa mabo 2-0 dhidi ya Crystal palace.**[image:
clip_image001[5]]**Robin van Persie ndiye alianza kufunga bao kwa mkwaju wa
penalty baada ya Patrice Evra kuangushwa ndani ya 18.**[image:
clip_image001]**Lakini Wayne Rooney ambaye ameingia mkataba mpya na Man
United, akapiga bao la pili. Bao hilo lilikuwa la kuvutia, kwani
aliunganisha na mkwaju ukajaa kwenye kona ya lango.*
*Hali hiyo inaonyesha kuinua matumaini ya mashabiki wa Man United ambao
wamekuwa hawana amani kutokana na tim... more »
MASHALLAH...HUU NDIO UJIO MPYA WA MDADA RAY C...!!!SOMA ZAIDI HAPA...
TASWIRA- 10 minutes ago

Anaitwa Rehema Chalamila kwenye stage ya muziki tunamjua kama Ray C.
Kitu kikubwa kinachosubiriwa kutoka kwake hivi sasa kazi zake mpya kwenye
muziki baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu.
Kitu cha kusubiria sio hicho tu bali Ray C Foundation ni kitu kingine
kitakacho kuja kutoka kwa Ray C.
Ameshare ujio wa foundation hii kwenye ukurasa wake wa instagram na
kudokeza kwa maneno “Coming soon stay tuned!!!!!” japokuwa hakuweka wazi
kazi ambayo itafanywa na foundation hiyo.
RIWAYA YA SITAISAHAU FACEBOOK SEHEMU YA NANE (8) INAENDELEA, UTAMU NDO UNAANZA SASA KAZI KWAKO MSOMAJI,KARIBU KUISOMA....!!
TASWIRA- 2 hours ago

[image:
https://scontent-b-lhr.xx.fbcdn.net/hphotos-ash3/t1/936399_613683545317832_1544278046_n.jpg]
SITAISAHAU facebook
MTUNZI: Emmy John P.
MAWASILIANO: 0654 960040
SEHEMU YA NANE
Pasipokutegemea John alisukumwa chini, akapinduka, lakini yule bwana
alijaribu kukimbia tayari mguu wake ulikuwa umekamatwa.
John alipogeuka ile alama ya kuchanwa na kisu ikaonekana. Nikabaki kama
zoba siwezi kupiga kelele wala kutoa msaada wowote.
Huyu naye akageuzwa shingo, kisha ghafla pakawa giza sikuweza kuona mbele.
Lakini nilihisi kama napoteza fahamu hivi.
Macho yalipopatra ujasiri na kufunguka ... more »
uwiiicheck huyu blogger maarufu nchini kenya akivo jichubua mpka kufika hapa...tazama ful pichaz kabla na baada....mmmh uzuri unatafutwaaa!!
TASWIRA- 3 hours ago
[image: Meet The Kenyan Rap Sensation Who Has Bleached Her Skin Until She
Is Ghost White (PHOTO)]
Whenever the word bleaching is brought up, it usually gets the lads and
lasses I work with wagging their tongues about Nigerians. And they always
remind me of the fact that I share some heritage with skin bleachers. but
now the tide has turned and I present to you the bleaching chronicles.
And today I have a lass who has played the part of vivacious video vixen in
times long forgotten before she took on a new role as an entertainer. Her
name is Natasha Minneh and she is in the process... more »
WATU WASHENZI KWELI CHECK WALICHO MFANYIA WYNE ROONEY..UTACHEKA UPASUKE...JIONEE HAPA
TASWIRA- 3 hours ago

[image:
https://fbcdn-sphotos-c-a.akamaihd.net/hphotos-ak-frc3/t1/1781983_750536054964035_1017359280_n.jpg]
LIVE SCORE: YANGA SC 4 - 0 RUVU SHOOTING - MBEYA CITY 0 - 0 COASTAL UNION
TASWIRA- 7 hours ago

*Mbeya City 0 - 0 Coastal Union*
*Dakika ni ya 33*
*Dakika ya 30, Mrisho Ngasa anaipatia Young Africans bao la nnEDakika ya
27, Emmanuel Okwi anaipatia Young Africans bao la tatuDakika ya 20: Yanga 2
- 0 Ruvu *
*Dakika ya 15, Ruvu Shooting 0 - 2 Young AfricansDakika ya 2, Saimon Msuva
anaipatia Young Africans bao la piliSekunde ya 40, Didier Kavumbagu
anaipatia Young Africans bao la kwanzaMpira ndo umeanza hapa Uwanja wa
Taifa kati yaRuvu Shooting Vs Young Africans*
HAWA NDIYO WAREMBO WANAOJIUZA KWA WANAUME MATAJIRI...UNATAKA KUWAJUA?? KAZI KWAKO SOMA NA TAZAMA HAPA
TASWIRA- 7 hours ago

Do you remember the famous facebook page called the campus diva for rich
men?well this girls got social media wild but everybody wondered whose
daughter,sister or girlfriend they were.
According to the Kenya daily post here are some of the photos of the ladies
who have been auctioning their bodies on social media (campus divas for
rich men) to offer sexual services for money favours.
KWA MAPICHA YAO CLICK HAPA MAKUBWA HAYA BLOG MAPICHA
RIWAYA YA SITAISAHAU FACEBOOK SEHEMU YA SABA (7) INAENDELEA TAFADHALI USIKOSE UHONDO....KARIBU KUISOMA
TASWIRA- 13 hours ago

[image:
https://fbcdn-sphotos-h-a.akamaihd.net/hphotos-ak-ash3/t1/600317_613200508699469_1474492915_n.jpg]
SITAISAHAU facebook
MTUNZI: Emmy John P.
MAWASILIANO: 0654 960040
SEHEMU YA SABA
Nikiwa katika kumkimbia John. Sasa aligundua kuwa kuna jambo limenisibu.
Akanifuata kwa kasi. Akanivagaa. Nikajilazimisha kujitoa mikononi mwake
huku nikipiga kelele. Ghafla akaninasa vibao viwili.
Sasa hapo ndio nikachanganyikiwa mwenzenu na kuamini kuwa dunia imefika
mwisho. Nililia huku nikimtaja mwalimu Nchimbi.
Lakini cha ajabu na kukera huyo mwalimu Nchimbi hata hakuwa akinisikia.
Iliniuma. J... more »
SIRI IMEFICHUKA.....!! KUMBE WASANII WAKIKE WANAOENDA NJE YA BONGO KUFANYA MATANUZI WANAKUWA WAMEFANYA BIASHARA YA KUJIUZA..!! SOMA HAPA
TASWIRA- 15 hours ago

wanaoenda huko nje sababu ya kufanya shopping ni uongo mtupu maana
...(akataja jina la msanii mkubwa wa kike) alishawahi kwenda huko tena
alienda kwa ajili ya kigogo mmoja hapa nchini ambaye alitaka wakutane huko
Dubai kwa ajili ya mapenzi ndipo akapata fulsa ya kufanya na shopping baada
ya kupewa pesa na kigogo huyo" Alisema rafiki huyo
Swahilitz kama kawaida yake ilitaka kujua ukweli mzima upoje inakuwaje
wanaenda nje kufanya hizo shopping na ni kwa kipato gani wanachopata maana
kila siku wanalia kuwa wasanii maisha ni magumu sasa inakuwaje wanaweza
kwenda nje ya nchi kufanya mat... more »
0 Response to " "
Post a Comment