MASHABIKI WACHUKIZWA NA KUMPONDA BARNABA BOY THE CLASSIC KWA KUPOST PICHA HII...WADAI SIO ISHU ZAKE .....TAZAMA HAPA
taswirainc@blogspot.com 44 minutes ago
HATA UWE MPOLE VP KATIKA LOVE HAKUNAGA HIYO, BEN PEN AFUNGUKA MAZIMA NA KUSEMA HAWA NDIYO MADEMU WA 5 ANAOWATAMANI SANA...LOL! WATAZAME HAPA
taswirainc@blogspot.com- 1 hour ago

HAWA NDIO WASANII WATATU (3) BORA WANAO WACHANGANYA MADEMU NJE NA NDANI YA TZ KIMVUTO KUTOKANA NA S3XY BODY ZAO..WAJUE HAPA
taswirainc@blogspot.com 2 hours ago

Hii ndio list ya Celebrities ambao kwa mwaka huu kweli unaweza kusema ndio
wanaongoza kwenye upande mzima kimuonekano, according to a research done by
vibe magazinetz imefanikiwa kupata kura zinazonyesha kuwa hawa ndio
wanastahili kuwa kwenye top 3 ya wanamuziki wenye mvuto zaidi.Talking about
being s3xy its not about kuwa na sura nzuri au kazi nzuri ya muziki msanii
anayoifanya bali ni muonekano wa body jinsi ulivyojengeka,hii ni moja ya
list ambayo at some point unaweza kumfanya mtu asiamini kumuacha girlfriend
wake peke yake hata kwa dakika cause lolote linaweza kutokea katika
... more »
MWANDISHI WA HABARI NUSURA AMRUBUNI TANZANIA ONE ROBINA NICHOLOUS...MWACHENI ASOME JAMANI....TAARIFA KAMILI SOMA HAPA
taswirainc@blogspot.com- 2 hours ago
[image: http://www.paullusambo.com/media/kunena/attachments/850/TO_2013.jpg]
Mwanadada aliye tangazwa kuwa tanzania one nusura kurubuniwa na mwandishi
wa habari kisa urembo aliokuwa nao, mdaku wa Angaza Tz alitufikishia shuzi
hili mara tu alipo mnasa jamaa akimpiga sound kistyle mtoto huyo wa kike
kabla haja fika mitaa ya kwao....chanzo cha blog hii hakikukubali kabisa
kuona tukio na kuacha kika mface jamaa na kumhoji kidogo lakin mwandishi
huyo wa habari alidai alikuwa anamtega tu....jamani tumwacheni asome...na
kwa mtazamo wako msomaji unadhani mtoto wa kike asinge mtolea nje jamaa ... more »
PNC AFUNGUKA UKWELI, NI KUTOKANA NA ALICHOFANYIWA NA OSTAZ JUMA NAMUSOMA..CHEKI HAPA
taswirainc@blogspot.com - 4 hours ago
Baada ya kile kilichoitwa ni unyanyasaji na udhalilishwaji wa msanii PNC na
meneja wake Ostaz Juma Namusoma, wasanii wenzake pamoja na wadau mbalimbali
wa muziki wamelaani sana kitendo cha meneja huyo kumdhalilisha msanii wake
kiasi kile.
Wengi tumekuwa tukiona picha mtandaoni baada ya Ostaz Juma Namusoma
kuziweka katika ukurasa wake wa faceboo. Lakini hatujajua ni nini
kilichotokea kati ya watu hawa na kufikia kuwa ni story kubwa sana ya wiki
hii..
Millardayo alifanya mahojiano na PNC na hiki ndicho alichokizungumza PNC
Mwenyewe
*"Kuomba samahani hiki kitu sijaona kama ni kitu ... more »
PICHA TATA...MMMH...LINAH AZUA GUMZO MTANDAONI BAADA YA KUTUPIA PICHA TATA...!!TAZAMA NA WAWEZA SEMA NENO
taswirainc@blogspot.com - 5 hours ago

Msanii wa bongo fleva maarufu anayetamba kwa ngoma kibao za mapenzi
ametupia picha akiwa amelaliwa na msichana mwenzie kwa juu
(mgongoni)......mmh ama hakika ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni!
DUNIA YA LEO HAKUNA MWANAMKE MBAYA KWA KWELI, HEBU TAZAMA PICHAZ 5 ZA MWANADADA RISPER FAITH ANAVOVUTIA...NI NOUMA SANA
taswirainc@blogspot.com - 5 hours ago

Tazama picha za mwana Dada Risper Faith mwenye mvuto wa kubabaisha midume
mingi…zamani na za saa hivi…then utapata jibu….
Hapa ndivyo anavyoonekana kwasasa
Hapa ndio utakaposhangaa…..hapa ndivyo alivyokuwa zamani
WEMA SEPETU AMEKUWA BONGEBONGE KISA MAPENZI YA DIAMOND ....soma hapa alivofunguka mwenyewe
taswirainc@blogspot.com - 13 hours ago

JANA katika Kipindi cha leo Tena Mwanadada Wema Sepetu Aliulizwa kwanini
Siku hizi ananenepa sana kiumbo na Mwanadada huyo mrembo alijibu moja kwa
moja kuwa ananenepa kwa sababu ana amani ya moyo kwa vile yupo na mtu
kimapenzi ampendaye kuliko wote duniani...Nadhani wote mnamjua ni nani?
Mapenzi raha Bwana asikwambie mtu ukimpata akupendaye na wewe anakupenda
lazima unenepe.
HAKIKA ..KWA HIZI PICHA WOLPER ANAFAA KUITWA CHAPOMBE ...tazama hapa
taswirainc@blogspot.com - 14 hours ago

0 Response to " "
Post a Comment