Chris Brown atupwa jela, ni baada ya kuzingua rehab -
taswirainc@blogspot.com- 17 minutes ago
Chris Brown ametupwa jela baada ya kukiuka agizo la jaji la kuendelea kukaa
rehab. Ijumaa asubuhi, muimbaji huyo mwenye miaka 24 alifukuzwa kwenye
rehab hiyo iliyopo Malibu nchini Marekani ambako amekaa kwa karibu miezi
minne.
[image: Chris+Brown+Chris+Brown+Arrives+Court+Hearing+_1-lX99MgrXl]
Jaji anayesimamia kesi yake ya kumpiga Rihanna, alimuagiza Brown kuendelea
kukaa rehab kwa siku 90 ili kusaidiwa kupunguza hasira ambako alimaliza
mapema mwezi huu. Hata hivyo, mwishoni mwa mwezi uliopita jaji huyo
aliamuru msanii huyo aendelee kukaa rehab kwa miezi miwili mingine.
Haijulikani ... more »
0 Response to "CHRISS BROWN JERA!!!!!!!!!!!!!!!!!!"
Post a Comment