Wiki hii mitandao ya Nigeria iliripoti
kuwa kulikuwa na ugomvi mkubwa kati ya mapacha wanaounda kundi la
PSquare, Peter na Paul Okoye na kwamba walitaka kupigana wakati wakiwa
mazoezini. Habari hizo zilichochewa na tweet ya kaka yao mkubwa ambaye
ni meneja wao, Jude Okoye iliyootafsiriwa na mitandao hiyo...
0 Response to "HATIMAE MSEMAJI WA P-SQUARE AONGEA KUHUSU TETESI ZA KUVUNJIKA KWA KUNDI.,.,.,soma hapa,.,.,http://taswirainc.blogspot.com/"
Post a Comment