KAJALA: MWANANGU ANAJISIKIA VIBAYA MIMI KUITWA MALAYA!!!!!! soma hapa!~!!!~!~!~!!~!http://taswirainc.blogspot.com/




  on April 21, 2014 at 6:00am 
Staa wa Bongo Muvi, Kajala Msanja katika pozi.
Maisha yanabadilika kwa spidi ya ajabu ndiyo maana ukweli wa leo unaweza kuwa uongo wa kesho!

Kwa kitambo kirefu mastaa wawili wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja na Wema Isaac Sepetu walikuwa kama kumbikumbi. Marafiki wa kufa na kuzikana. Sasa mambo yamebadilika.

Walizoea kulala hadi kitanda kimoja. Walikula na kunywa, walifanya kazi pamoja. Jioni walikwenda kujirusha pamoja.
Kajala…
http://taswirainc.blogspot.com/

Advertisementhttp://taswirainc.blogspot.com/

0 Response to "KAJALA: MWANANGU ANAJISIKIA VIBAYA MIMI KUITWA MALAYA!!!!!! soma hapa!~!!!~!~!~!!~!http://taswirainc.blogspot.com/"